Biashara

Wazabiashara kwa Vifaa

Wazabiashara inabadilika kulingana na aina ya biashara kupitia moduli zinazowekwa.

  • Fuatilia bidhaa ndogo na vifaa vikubwa katalogi moja.
  • Madeni ya wasambazaji na rekodi za manunuzi ziko mpangilio.
  • Muhtasari wa mauzo ya siku huweka cash flow wazi.

Uko tayari kudhibiti biashara yako?

Anza kusimamia mauzo, bidhaa, wateja na taarifa za biashara yako mahali pamoja.