Biashara

Wazabiashara kwa Huduma

Wazabiashara inabadilika kulingana na aina ya biashara kupitia moduli zinazowekwa.

  • Rekodi mauzo ya huduma na madeni ya wateja.
  • Linganisha matumizi ya biashara na mapato.
  • Ripoti rahisi zinaonyesha kama biashara inakua.

Uko tayari kudhibiti biashara yako?

Anza kusimamia mauzo, bidhaa, wateja na taarifa za biashara yako mahali pamoja.